Kipigo cha Simba SC ni maumivu kwa Yanga

sawa ila naongea ukweli tu siyo kwamba wachezaji hakuna ila u faza na kujiona bora kwa baadhi ya wachezaji hadi wengine kuuza mechi unaona sawa??? hii timuatimua itarudishia watu aklili zao
Kaka hizi Mambo zako zakuuza mechi ni ujinga embu achana nazo kwanza..
 
hata nispoyaacha ubingwa kuchukua mwaka huu ni ngumu jiandae kisaikolojia
Kama mkiuwa wachezaji wetu wote sawa...mechi mbili haziwezi kuwa kipimo sahihi Cha michuano kwa ujumla,acha ujinga Kaka.
 
mpuuzi wewe bwege nimekuambia mimi shabiki wa simba jinga kabisa
Toka zako Simba tunaamini kwenye nguvu moja,Ila wewe ni nguvu pinzani huwezi kuwa mshabiki wa Simba unakengeuka hovyo huna moyo wakiume we ni 🐵🐵🐵🐵tu Kama 🐵🐵🐵🐵 wengine..
 
Ndio nachukua Tena ubingwa,nyie mautopolo mamisukule mashetani mapunguani kwa Sasa wanaume Simba yumeamua shauli yenu.. wanaume hatutaki Tena 50/50 kila mtu ajitegemee
Nyie Bata fc hebu tulizeni akili kwanza
 
ndugu nikiwa kama mwanasimba nakushauri achana na mawazo hayo utopwinyo wan nafasi kubwa san ya kuchukua huu ubingwa labda hiyo timuatimua inayoendelea usiku huu itawaamsha wahusika klabuni
Kuna shida gan mzee
Mbona wanasema ijibebe
Nini kimetokea?
 
Hatujawahi kuwa maboya Kama utopolo,tunasimama na timu yetu.kama tunashangilia pamoja kwanini tusihuzunike pamoja? SIMBA NGUVU MOJA...
Na nyie mmezidi kufungwa kama libolo fc bhana
Achaneni na ushabiki uchwara kila siku kufungwa tuu
Utopolo nao ovyo tuu japo wakicheza na nyie wanawapelekea moto balaaa tena wa makaa ya mawe daaah

Mpira wa bongo ni kichekesho

Uaneni, ushabiki maandazi tuu
Wajanja ndiyo wanakula maisha kupitia nyie vilaza
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom