hii ni brazil mkuu, angalia label ya m-soldier begani.
mi nawaza tu akipona takuwaje huo uso. na kama ana mke jamaa ndio kapona anataka mchezo kwenye taa. lol mungu amsaidie jamani
Safari ni Safari avatar yako inafanana hiyo picha, ni maumbile au na wewe mwenzetu yalikusibu?Huyu kapigwa risasi na sio bodaboda....angalia mijeshi hapo pembeni