Kipi unapenda uone urudipo nyumbani?

Jul 27, 2012
18
2
Wana chitchat mamboz, wengi wenu humu mna familia na wengine hamna mpo single, hebu sema ni kitu gani unapenda kukiona nyumbani kwako urudipo kazini au mihangaikoni, me kwa ujumla napenda' kwanza nikute wanangu wako safi, wamekula na wanafuraha, pili nguo zao zote ziwe zimefuliwa na nyumba iwe safi na vyote vinavyohitaji usafi viwe safi.
Je! Mwana jf mwenzangu, we wapendani?
 
Me nnachopenda kukiona nirudipo nyumbani ni kumuona my fiancee ameandaa chakula cha usiku fresh
 
Nataka nimuone wife na kanga Moja katilia safi, Sio kavaa misuruali migumu ukimkumbatia unajisikia Kama Mtu Akupiga msasa
 
Nimkute my WIFE BeibeNasty keshavaaa nguo za kuogea!
Meanwhile ameweka disc ya Taarabu ! Na nyimbo yenyewe iwe imepigwa na bendi ya "Chukuchuku Modern Taarab"
 
Mi nikirudi nataka nikute remote control ya tv iko mezani nianze kuangalia sports huku napata laga ya bariiiidiiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom