kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,633
- 7,021
Sio wote.Walishachanganyikiwa kitambo hao, wewe endelea kuwafuatilia shauri yako utakuwa km wao.
Afya ya wapi mkuu wakati hivi sasa watu wanahimizwa kutumia protein kwa wingi kuliko wanga?Sidhani hata ulielewa mafundisho. Jaribu kuangalia bila kuwa na mawazo hasi naamini utatoka na kitu cha kukusaidia kiafya.
"Muwe na kiasi katika mambo yote". Kula na kunywa kwa kiasi, hayo mayai ukila kila siku ni hatari kwa afya yako, hayo siyo mafundisho ya wasabato bali ni mafundisho ya afya.
Hatufanani akili mkuu,ila ninachojua,huwezi kuhamasisha watu wafuge kuku wa mayai hapo hapo unaua soko la mayai kwa kuwatahadharisha watu na hatari ya mayai!Si ni bora uwahamasishe wafanye kitu kingine?Tatizo ni akili yako
Tatizo ni akili yako
Kunakipindi walikaa airport siku kadhaa kwamba wanataka kwenda ulaya bila kulipa nauli ili wakahubiri injili, hapo ndipo niliwatambua hamnazo
Mkuu kweli kabisa hivi hizo kompyuta zao mbona kwenye hizi hospitality za kawaida hazipo?Hawa jamaa ni waongo wakubwa ukiwafuata huishi dunia hii hata wao karibia vyote wanavyojinadi ni vibaya wanagonga
1. Wanajifanya hawanywi cocacola lakini wanagonga mitaani kama kawa
2. Wanajifanya hawanywi chai ya majani ya chai ama kahawa na badala yake eti wanajanani gani dizain ambayo hayawezi kufanya kazi ya chai lakini wanazigonga tii kama kawa
3. Wanajifanya eti mdudu ni haramu lakini wanamgonga kimya kimya
4.Siku hizi wamekuwa ni waganga wa kienyeji na wanaibia watu wenye magonjwa sugu kwa kitu wanachokiita "SANITARIUM CLINIC" tena eti wana compyuta ambayo ukishika inatbaini magonjwa yoote mwilini. Utapeli mtupu wametajirika lakini watu wanaendelea kuteseka na magojwa yao