wajasiriamali.comNipe link ya site yako Mkuu...nikusaidie...
Na Kama upo serious ni check:0623391590
Chief nimeichek website yako....mna wazo zuri sema mmekosa technology sahihi haswa upande wa Front end ambao ni muhimu kwa furaha ya mtumiaji(User experience)
Site sio responsive
Badilisha front end Kaka,utumie framework zinatakazo fanya site iwe responsive plus Best design.....(Na recommend Bootstrap)..kwaiyo una shauri nini mkuuu
Badilisha front end Kaka,utumie framework zinatakazo fanya site iwe responsive plus Best design.....(Na recommend Bootstrap)..
Kama ukihitaji niifanye io kazi...nicheck namba zangu zipo hapo juu
Kaka hio approach utatumia mda mrefu.....bila ya mtu kuziona codes ulizotumia Ni vigumu Sana kukusaidia.....ataishia kukwambia tu ubadilishe muonekano....Haya mambonapenda mtu wa kunifudisha kama kunikosoa na kuniambia nawezaje kirekebisha kama unaweza kunielezea zaidi namna ya kurebisha ni vizur zaid
ni kweli mkuu najifunza na baada ya kupata wazo la kuwa site niliona si vyema nikitaka kufanya ktu lazima nimfate mtaalamu,kwaiyo nimeanza kujifunza kupitia ya kwanguMkuu,
Wengi mnapokosea ni kudhani website ni functionality tu na mnasahau kuwa ni point ya kujibrand....
Nimengalia website yako haipo user friendly (si rahisi kutumika na mtumiaji). Nimeangalia muonekano wake yaani itamuwia mtumiaji kujua inahusu nini na vipi ataitumia.
Design yake sio nzuri.
Arrangement yake haipo sawa na hapa ningeomba uangalie website nyinginezo ambazo zinafanya vitu kama vyako ili upate hint za muonekano stahiki wa website yako
Quality ya picha si nzuri.. inaonekana unachukua picha bila kujali dimensions zake na kufanya zionekane ndogo au kubwa kitu ambacho kinaharibu muonekano wake.
Unless unafanya kama kujifunza, ni kheri ukatafute mtu wa kukutengenezea kwa bei ndogo maana naona hosting unayo. Hata JF pekua threads utawakuta.
Kaka hio approach utatumia mda mrefu.....bila ya mtu kuziona codes ulizotumia Ni vigumu Sana kukusaidia.....ataishia kukwambia tu ubadilishe muonekano....
Bro uko vizuri kwenye web applucation development. Nina web system yangu jamaa mmoja alinitengenezea, sasa haiko very responsive upande wa mobile devices.
Yeye alifocus tu kwa interfaces za laptop.
Sasa, nataka nifanye web app iwe responsive for both devices, hasa smart phones. Then nifanye hosting. Bado ipo localhost.
Unaweza tufanye kazi?? Shingapi kwa makadirio. Usinipige pesa ndefu kaka, kumbuka system ipo ni suala la kurekebisha tu outlook.
Natakiwa by December 10 iwe imekamilika vizuri na tufanye hosting kabisa. Hapa kwenye hosting pia nitahitaji unisaidie settings zake.
Nishalipia Domain, na hosting server.
Nicheki Kaka....0623391590Bro uko vizuri kwenye web application development. Nina web system yangu jamaa mmoja alinitengenezea, sasa haiko very responsive upande wa mobile devices.
Yeye alifocus tu kwa interfaces za laptop.
Sasa, nataka nifanye web app iwe responsive for both devices, hasa smart phones. Then nifanye hosting. Bado ipo localhost.
Unaweza tufanye kazi?? Shingapi kwa makadirio. Usinipige pesa ndefu kaka, kumbuka system ipo ni suala la kurekebisha tu outlook.
Natakiwa by December 10 iwe imekamilika vizuri na tufanye hosting kabisa. Hapa kwenye hosting pia nitahitaji unisaidie settings zake.
Nishalipia Domain, na hosting server.
Usihofu Chief....nipe Credentials za Cpanel yako tufanye kazi.....Mteja huyu kaka usinisahau mleta uzi
DON'T SEND YOUR LOGIN CREDENTIALS TO THIS GUY.Usihofu Chief....nipe Credentials za Cpanel yako tufanye kazi.....