Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,968
- 727
Jamani msisahau YouTube, hii ni shule powa kabisa as long as una discipline.
https://www.youtube.com/watch?v=BZO-LjmU-T0
https://www.youtube.com/watch?v=BZO-LjmU-T0
unaweza ukasoma shule ya kata na ukafaulu vizuri cha msingi ni wewe mwenyewe utakavyojiwekea ndivyo utakavyokuwa bora na fani yako,hivyo nakuambia vyuo vyote vinafanana ila malengo yako ndo yatakayokukomboa
Unawazidi ujizi kwa koformat computer na kuchonga cable kwa ajili ya kupin kwenye RJ 45? Ha ha ha asikuambie mtu degree ina heshima yake. Wewe jifariji hivyo hivyoNikuwambie ukweli nduugu yangu kadili ya uzoefu wangu wa kufanya kufanya kazi na graduands mbalimbali wa IT, naweza kusema nimefurahishwa sana na ueledi wa wale waliotoka RUCO au Mzumbe. Vyuo vingine wanakuja ofisini kwangu na degree ya IT lakini mimi ambaye nimejifunzia computer mtaani nawazidi ujunzi...kazi ni kwako. Kama kweli unataka kupata ujuzi, nenda huko, na nadhani hao watu wa RUCO
Tatizo kila mtu anasifia chuo alichosoma yeye....
Teh teh
Hii na yenyewe ni shida..!!!?
Akili za kuambiwa, changanya na zako....
aaptech unique academy
RUCO wana shida gani?RUCO na Mzumbe.. hahaha sikiliza wengine wote ila aliyesema RUCO na MZUMBE usimfikirie kabisa....
Sijasoma IT ila nimesoma Computer Science so najua khs IT vzr tu, i can tell u jamaa waliosoma IT hasa Mzumbe wako so shallow..
I recommend DIT
sina background ya IT..Tatizo kila mtu anasifia chuo alichosoma yeye....
Teh teh
Hii na yenyewe ni shida..!!!?
Akili za kuambiwa, changanya na zako....