Kipi ni chuo bora cha IT Tanzania...?

Kipi ni chuo bora cha IT Tanzania...?

Sasa unataka kusoma IT wakati hata kuandika kwenyewe shida? upo mkoa gani wewe? na kiwango chako cha elimu ni kipi? unapoomba msaada unesha kweli kwamba unaomba msaada na unajitambuwa, kila chuo kina sifa na daraja lake sasa usipojieleza tukusaidiaje?
Unesha - onyesha
Unajitambuwa - unajitambua
 
sidhani kama mtoa uzi umepata jibu sahihi..WOOTE waliokoment wameleta mapenzi hapa juu ya vyuo vyao...
Nilitegemea FACTUAL information maana the information needed ilkuwa ni technological...

Hapo poote umedanganywa..kuna wengne wamesema udsm..inshort udsm hawana IT bali CS sasa utakuwa umeelewa uongo wa wana JAMVI unaloliamini
 
Naomba unsaidie kunpa details za chuo bora kk
 
Ubora wa chuo unathibitika kwenye utendaji kazi wa wahitimu wake mkuu na hilo ni suala la research ya kina. Na ubora wa mhitimu binafsi unatokana na kujituma, ari ya kujifunza na kutambua anafanya nini regardless yupo chuo gani. Hapa hutapata jibu, kila mtu atataka akisifu chuo alichosoma/anachosoma.
 
Ujinga huu, mtu akiuliza anataka kusoma English kozi tutamwambia aende British council, acha kuishi kwa kukalili, kusema mji mkuu wa Kenya ni Nairobi siyo ushabiki bali ndio ukweli.
 
Kati yangu na ww nani anakariri mdogo wangu? (I can guess umri wako kwa kiwango cha busara ulichonacho).
Wote wanaozungumza kiingereza fasaha baada ya kupitia course walipita British Council?
 
Unaona ulivyo mjinga? anayezungumza kingereza fasaha hapa duniani ni Muingereza tu, wala siyo mscotish.
 
Hakuna Mafundi wa IT Tz kama UCC.......university of darslam computing center kama upo mwanza nenda UCC mwanza branch......

NB: Inatakiwa uwe fiti sana kwenye mathematcs dogo.....
 
Back
Top Bottom