Kipi kitatokea endapo nitamuoa mpenzi wa rafiki yangu?

Wewe ni mpuuzi,huna hekima na mnafiki. Ulishaonyesha interests nae mapema.

Umemfitini rafiki yao ili kimgombanisha na mkewe. Inaonekana wewe ndie uliyemchomesha rafiki yako! Kisha ukamkaribisha na kumficha kwako! Kwani yeye hana kwao?

Huyo mwanamke hana upendo kwako,ulimpata akiwa katika depression na wewe ipo siku utamuuzi atazini na mtu mwengine.

Hapa Kuna Cha kujifunza, si kila rafiki ni wa kumwamini na kumpeleka nyumbani.
 
Wakuu mimi sijawagombanisha...ila huyu manzi Alikuwa akinitafuta nimpe ushauri...sasa manzi akavutiwa na mm na namna nilivomjali,...sasa wakuu kosa langu liko wapi na mm namkubali...

Mi naona cha kujifunza tusiwatese wapenzi kama wanatupenda kwa dhati!
 
Basi huyo dada amwambie huyo rafiki yako kuwa anakupenda sana, na kwamba atafanya njia zozote zile akupate!

Baada ya muda mwambie msela wako, kuwa Shemeji anakusumbua sana, na kwa heshima yake unashindwa kuacha kumskiliza, lkn unashindwa kufanya anachotaka! Then, umblame kwa kumuacha na kumuumiza!

Naamini jamaa, anaweza kukwambia achana nae huyo, au kama unaweza piga, wee piga tu (inategemea na namna alivyokuwa anamfeel). Naamini kabisa jibu lake, litakuwa linaku-favour!

Hivyo, kitakachotokea wewe utakuwa Bwana Harusi na huyo Binti atakuwa Bibi Harusi. Afu Msela Shemeji ya Bibi Harusi
 
Hawana mawasiliano kabisa...wameachana kwa matusi kabisa
Badilisha makaazi, endelea kula mbususu at least mwaka.na kidogo ili ujirishe kweli wameachana isije kuwa hasira zinaisha then wanatafitana. Baada ya hapo unaweza tangaza ndoa ikibidi na mimba ameshabeba. Urafiki usikutishe coz urafiki wenu sidhani kama ni wa muda mrefu.
 
Urafiki wetu hauna hata mwaka
 
Wakuu mimi sijawagombanisha...ila huyu manzi Alikuwa akinitafuta nimpe ushauri...sasa manzi akavutiwa na mm na namna nilivomjali,...sasa wakuu kosa langu liko wapi na mm namkubali...

Mi naona cha kujifunza tusiwatese wapenzi kama wanatupenda kwa dhati!
Snitch wewe na tangu mwanzo ulionesha viashiria vya kumtaka demu wa rafiki yako.
Subiria matokeo yake kama haujapigwa mapanga au visu sijui
 
Unaweza kumuoa Ila dah unajiskiaje mikao unayomuweka afu MTU wa karibu yako kamuweka hivyo hivyo?.

Kwangu ngumu siwezi.
 
Kumbuka jambo moja tu kuwa mtalaka hatongozwi. Hata kama jamaa hatokasirika akijua, uwezo wa kumlala tena aliyekuwa demu wake utakuwa ni mkubwa sana kipindi hicho akiwa ni mkeo. Jiweke sawa kisaikolojia kuwa jamaa atakula mzigo wewe ukiwa mmiliki ikizingatiwa ushakiri mwenyewe kuwa alimpenda sana jamaa.
 
Wakuu nilichokifata kwa demu ni uwife material amboa best yangu hakuuona...

Mzuri
Mchapakazi
Ananidhamu
Bado binti
Ni msomi muda wowote anapata kazi yake ya ualimu atakuwa mlezi bora wa wanangu..kukuoa nitamuoa isipokuwa nawaza vurugu za jamaa tu
 
Moja kwa moja naomba nijikite kwenye mada, miezi kadhaa iliyopita nilipata kufahamiana na jamaa mmoja ambae aligeuka kuwa rafiki yangu mpenzi(best friend). Rafiki huyo alikua akiishi kwa raha na furaha pamoja na demu wake..(hajamuoa).Alikuwa akimsifia sana na pia kujihakikishia mbele yangu na hata baadhi ya marafiki wengine kuwa haitatokea akamuacha.

Kwa upande wangu niiliipenda hii familia ya best yangu na mara kadhaa nilienda kuwatembelea kama ndugu zangu..

Binafsi:
Mimi siku ya kwanza kumuona huyu demu wa jamaa nilimpenda sabb ni wife material, lakini nilijisemea tu moyoni na moyo ulikataa kufanya wizi wala ushawishi wowowte wa kumla kimasihara nilimuheshimu na maisha yakaendelea.

Miezi kadhaa kupita jamaa akapata demu mwingine,hii kitu ilipelekea mahusiano kuvunjika sabb jamaa Alikuwa akimcheat demu wake pasipo na umakini wowote hatimae kusababisha kuporomoka kwa mahusiano yao.

Demu:
Upande wa demu mahusiano kwake yakawa ni jeraha pamoja na majuto..ukizingatia alimpenda sana jamaa yake. Baada ya hayo yote mimi nikageuka kuwa mfariji na mrudisha mahusiano.Hali hii ya kuwa karibu na demu wa jamaa ilitupelekea kuanzisha mahusiano ya kimapenzi.

Ilikuwa ni rahisi sana kwa sabb toka watengane yule binti alihamia kwangu mm nikawa namficha nyumbni kwangu hata ikitokea jamaa kaja kunitembelea mimi nilikuwa nikimfungia chumbani kabla hajaonekana. Nilifahamu fika jamaa angejua angeniletea noma kubwa sana kwa sabb jamaa ni mkorofi..namfahamu vizuri.

Ndoa:
Baada ya kuhofia changamoto za huyu jamaa mimi nilimrudisha binti kwao,nikawa naishi mwenyewe kama ilivyokuwa nikiishi mwanzo,..

Kwa ufupi tu mimi nataka nimuoe huyu binti kwa sababu nimejirizisha ananifaa ...je?jamaa akijua itakuwaje?na kwenye harusi nimpe mualiko ama vipi?...angalizo ni kuwa jamaa hajui kama mimi na mahusiano na Aliekuwa mpenzi wake,

Niko njiapanda wakuu naombeni ushauri wenu...mtanisamehe kwa uwandishi mbaya ila imani yangu nimeeleweka.

Ahsanteni sana poleni na majukumu.
Kabla ya yote jamaa atachowaza ni kuwa ulikuwa unamgongea toka wako wote. Hilo nikuhakikishie tu ila lingine ni kuwa sahahu kuwa mliwahi kuwa marafiki na huyo jamaa.

Urafiki utavunjika kwa nia njema sababu utamuoa huyo binti so sioni madhara zaidi ya makasiriko ya jamaa. Ila ukimuacha huyo demu utakuwa msengerema wa mwisho sababu umesema umejiridhisha anakufaa.
 
Moja kwa moja naomba nijikite kwenye mada, miezi kadhaa iliyopita nilipata kufahamiana na jamaa mmoja ambae aligeuka kuwa rafiki yangu mpenzi(best friend). Rafiki huyo alikua akiishi kwa raha na furaha pamoja na demu wake..(hajamuoa).Alikuwa akimsifia sana na pia kujihakikishia mbele yangu na hata baadhi ya marafiki wengine kuwa haitatokea akamuacha.

Kwa upande wangu niiliipenda hii familia ya best yangu na mara kadhaa nilienda kuwatembelea kama ndugu zangu..

Binafsi:
Mimi siku ya kwanza kumuona huyu demu wa jamaa nilimpenda sabb ni wife material, lakini nilijisemea tu moyoni na moyo ulikataa kufanya wizi wala ushawishi wowowte wa kumla kimasihara nilimuheshimu na maisha yakaendelea.

Miezi kadhaa kupita jamaa akapata demu mwingine,hii kitu ilipelekea mahusiano kuvunjika sabb jamaa Alikuwa akimcheat demu wake pasipo na umakini wowote hatimae kusababisha kuporomoka kwa mahusiano yao.

Demu:
Upande wa demu mahusiano kwake yakawa ni jeraha pamoja na majuto..ukizingatia alimpenda sana jamaa yake. Baada ya hayo yote mimi nikageuka kuwa mfariji na mrudisha mahusiano.Hali hii ya kuwa karibu na demu wa jamaa ilitupelekea kuanzisha mahusiano ya kimapenzi.

Ilikuwa ni rahisi sana kwa sabb toka watengane yule binti alihamia kwangu mm nikawa namficha nyumbni kwangu hata ikitokea jamaa kaja kunitembelea mimi nilikuwa nikimfungia chumbani kabla hajaonekana. Nilifahamu fika jamaa angejua angeniletea noma kubwa sana kwa sabb jamaa ni mkorofi..namfahamu vizuri.

Ndoa:
Baada ya kuhofia changamoto za huyu jamaa mimi nilimrudisha binti kwao,nikawa naishi mwenyewe kama ilivyokuwa nikiishi mwanzo,..

Kwa ufupi tu mimi nataka nimuoe huyu binti kwa sababu nimejirizisha ananifaa ...je?jamaa akijua itakuwaje?na kwenye harusi nimpe mualiko ama vipi?...angalizo ni kuwa jamaa hajui kama mimi na mahusiano na Aliekuwa mpenzi wake,

Niko njiapanda wakuu naombeni ushauri wenu...mtanisamehe kwa uwandishi mbaya ila imani yangu nimeeleweka.

Ahsanteni sana poleni na majukumu.
Kingine nachoweza kukuhakikishia ni kuwa kama jamaa yako alikubalika katika vijito vya huba vya huyo demu wako basi jua huenda iko siku akaamua kutumia kile kifaa kinachoitwa microwave kwa mke wako ambaye ni EX wake na kigezo kitakuwa ni kumisiana tu hamna namna ingine.

Mwanamke akiPenda huwa aachi jumla. Ule uchungu wa hasira ukiisha anaachia goli kama kawaida
 
Mkuu kuoa nitamuoa tu,hapa hofu kuu ni mbili ...demu arudiane na jamaa,..pili ugomvi wa jamaa
 
Back
Top Bottom