rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,522
- 42,025
Amini tenaa hawa viumbe wanakurupukaga na hii manzi ataona ni bonge la revenge maana katoka na best friend wa jamaa... ila mwisho wa siku hasira zikipoa jamaa ake akigusa tu imooSahii kabisa,
Wanawake wakishaumizwa wanakja vulnerable na desperate sana kufarijika na kurevenge. Ila still mapenz yakweli hayaishi kwa jamaa wake