ESCORT 1
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 1,501
- 3,342
Habari Za Jioni Wana Ukumbi
Nimeamua Nianze Kunywa Bia Hasa Bia za Nyumbani ( Local Beer ) Kutoka TBL Na SBL Ili Kujenga Uchumi Wa Nchi Na kumuunga Mkono Rais Wetu Kipenzi John Magufuli Katika Kuongeza Mapato.
Naombeni Msaada, Ni Bia Gani Nzuri Ninywe Ili Niweze Kuburudika Hasa Wakati Huu Nikiwa Likizo. Ni Bia Gani Nzuri Inayoweza Kunipa Kitambi Pia Ambayo Haina Hang Over?
Karibuni Mtiririke Wanywaji Mliotukuka.

) ? Angalia hata bajeti ya mwaka huu utaona kipi kitakacho ongezeka kodi yake kati ya pombe (narudia tena sio magu