Kipi kinapendwa na wanawake mbali na Status?

MLALUKO JR

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2015
Posts
962
Reaction score
309
Wanawake tuambieni maana imekuwa taaaaabu kuwaelewa mnachokpenda.Kidume ht uwe na pesa,mpole na mwenye mapenzi ya kweli pia waweza achwa.Valentina,masai dada,Lara0(1) tupeni ya moyoni
 
Upo bar gani nije kukupa kampani?
 
Wanawake tuambieni maana imekuwa taaaaabu kuwaelewa mnachokpenda.Kidume ht uwe na pesa,mpole na mwenye mapenzi ya kweli pia waweza achwa.Valentina,masai dada,Lara0(1) tupeni ya moyoni

Sijakuelewa mkuu.Unataka maoni watoe hao watatu tu ulowataja???Kwahiyo kina Nifah,atoto na wengine wengine hutaki maoni yao???
 
wao ni kama wawakilish tu,maoni yao wote ni muhimu.
 
Kama unavyo vyote ulivyovitaja hapo juu huwez achwa labda uwe unalako jambo
 
Wanawake tuambieni maana imekuwa taaaaabu kuwaelewa mnachokpenda.Kidume ht uwe na pesa,mpole na mwenye mapenzi ya kweli pia waweza achwa.Valentina,masai dada,Lara0(1) tupeni ya moyoni

Pamoja na hayo hapo juu lakini
-mpe social life
- mpe muda wa kuongea umbea
-mpe loop holes kwa baadhi ya mambo
Kishapo ukikikamata kipochi manyoya kisulubu kisawasawa uone kaa utaachwa...ukiingia huko upole peleka kureeee...ire ni vita mura
 
wao ni kama wawakilish tu,maoni yao wote ni muhimu.

hukuwa na sababu ya kuquote hao watu...km unawataka kanyooshe maelezo pm, kuquote wanawake kwny mada za mapenz ni kunabadilisha mantiki ya mada...we sema unataka mmoja wapo kati yao
 
Pamoja na hayo hapo juu lakini
-mpe social life
- mpe muda wa kuongea umbea
-mpe loop holes kwa baadhi ya mambo
Kishapo ukikikamata kipochi manyoya kisulubu kisawasawa uone kaa utaachwa...ukiingia huko upole peleka kureeee...ire ni vita mura

Haya hpo nmekupta MURA,Ntakutema mura
 
Tunapenda dyu.dyu zaidi...na pesa ya kubadili mboga pia uwe nayo.
 
hukuwa na sababu ya kuquote hao watu...km unawataka kanyooshe maelezo pm, kuquote wanawake kwny mada za mapenz ni kunabadilisha mantiki ya mada...we sema unataka mmoja wapo kati yao

mimi bdo barobaro sitaki kati yao,hao n size yenu
 
Back
Top Bottom