Kipi Kinakuvutia JamiiForums?

Kipi Kinakuvutia JamiiForums?

Napenda michango ya mawazo inayotolewa humu watu wanavyopambanua hoja

Kuna mambo mengi sikua nayafaham before mengi nimekuja kuyajulia humu jf

Madame S
 
Habari zenu wadau wa JF.

Naam wakuu kama tunavyo tambua na kuelewa kuwa Forums inayo bamba na kupedwa zaidi Afrika Mashariki basi bila shaka ni Jamii Forums.

Hivyo basi kufikia hatua hiyo kuna vitu vinavutia kwa washirika wake kupitia mijadala mbalimbali, kipi kinakuvutia na unakipenda zaidi.??

Binafsi navutiwa na majibu ya Raia humu ndani, mfano mtu kaomba ushauri majibu atakayo pewa yanaenda tofauti na alicho kusudia kupokea.
navutiwa na mada murua
 
Back
Top Bottom