Kipi Kinakuvutia JamiiForums?

Kipi Kinakuvutia JamiiForums?

Naipenda forum ya matajiri,
Kila mtu ni coordinator
Kila mtu ana gari
Kila mtu ana degree
Kila mtu ana nyumba
Kila mtu ana mshahara wa about 2m kwa mwezi
Kila mtu anajua kiingereza
Kila mtu amewahi/anaishi abroad.
Yaani haya mazingira yananifanya na mimi nijihisi nina status kama ya wanajf wengine.
Hahaaa. Mwanzoni mi mwenyewe mumy nilikuwa nashangaa ila baada ya kuzowea najionea sawa tu.

Ila fake ID zina mengi sana.
 
Mambo yote mazuri kasoro wale wanoomba picha za matukio hata pale ambapo haiwezekani!!


Uje bbc bado kidogo nianze kukujibu kwenye hilo neno "haiwezekani" lol.

Uwe unatembea tembea kama hivi bana mana hadi nimeshutuka.
 
Ndio pacha wangu huyo umuone.

Mzima lakini?
Kumbe huu ni uwanja mwingine, nilitataka kuanza na "lakini"! Mzima emmyta, unajitahidi kujali. Kwa kuwa ni jukwaa la wanaJF wote, sijambo!
 
Kumbe huu ni uwanja mwingine, nilitataka kuanza na "lakini"! Mzima emmyta, unajitahidi kujali. Kwa kuwa ni jukwaa la wanaJF wote, sijambo!


Sawa kibonge bbc . Endelea kulijenga taifa.
 
  • Thanks
Reactions: bbc

Similar Discussions

Back
Top Bottom