Ushaanzaanifate pm
Haha rafik angu mbona hvyo...hyo kamwandikia dada wa watu me ndo namshangaaNenda akulipue huko
Hongera zako pacha.Nimejifunza vingii sana , sasa hivi naweza kubishana na mtu kwa ujasiri kabisaaa ,kumbe nimeiba mawazo ya watu humu ndani hahaha lol, halafu kila habari napata sikumbuki mara ya mwisho niliangalia taarifa ya habari lini maana najikuta vingi nishavisoma hapa,kwa hyo hata kale kaking'amuzi toka uchaguzi uishe sijawahi kukatia hela

Kuchat na rafiki yangu kipenziii, hahaaaa na members wengine
Emmyta miss u so mucg

1.Nafurahi mtindo wa kutumia ID fake, inatupa ujasiri wa kusema mambo bila kuogopa maana mitandao mingine ukisema hivyo watakutafuta wakakupime mkojo.Habari zenu wadau wa JF.
Naam wakuu kama tunavyo tambua na kuelewa kuwa Forums inayo bamba na kupedwa zaidi Afrika Mashariki basi bila shaka ni Jamii Forums.
Hivyo basi kufikia hatua hiyo kuna vitu vinavutia kwa washirika wake kupitia mijadala mbalimbali, kipi kinakuvutia na unakipenda zaidi.??
Binafsi navutiwa na majibu ya Raia humu ndani, mfano mtu kaomba ushauri majibu atakayo pewa yanaenda tofauti na alicho kusudia kupokea.
Ahsante sana mdogo wangu.Kuchat na rafiki yangu kipenziii, hahaaaa na members wengine
Emmyta miss u so mucg
1.Nafurahi mtindo wa kutumia ID fake, inatupa ujasiri wa kusema mambo bila kuogopa maana mitandao mingine ukisema hivyo watakutafuta wakakupime mkojo.
2. Mengine ni mazuri sana kiasi kwamba siwezi kuyaeleza moja baada ya jingine maana ni mengi zaidi ya Makinikia

Mdogo wangu hiyo namba moja yako maneno yako matatu ya mwisho yamenichekesha aiseee.
Haya bwana.![]()
![]()

Au vice versa...unakuja mwenye furaha unaondoka umekwazika.Comments za watu unaweza kuja na stress ukajikuta unacheka mwenyewe
Na siku ukiambiwa Fyatu ndiye huyu unashikwa butwaa....ukikumbuka siku alivyoponda umbo/muonekano wa fulani kumbe yeye mwenyewe tia maji tia maji.Mi kinachonivutia ni hizi ID fake tu kwa kweli mana zinasababisha watu wanafunguka kwa uwazi kabisa mana kuna vitu vingine huwa vinaongelewa mpaka unasema daah ingekuwa majina yetu halisi sidhani kama jf pangekuwa sehemu salama.