Kipi Kinakuvutia JamiiForums?

Kipi Kinakuvutia JamiiForums?

Uzuri wa ID fake hata ukichangia pumba wakakushukia wala husikii noma yoyote.
Ila saa nyingine kuna kiaibu fulani bana japokuwa watu hawakujui.

Mana kiukweli unaweza kuta watu mmezoweana na kudhani mnafahamiana hivyo siku ukizodolewa lazima ka aibu uwe nako kwa kuwaza wale swahiba zako watakuchukuliaje.
 
Uzuli wa hapa jf ni kwamba unaweza kukuta baba na mwana

wanapeana sheet bila kujijua ama mke na mume wanatoana

jasho bila kufahamu, ama Profesa na std seven wanashikana

mashati bila kutambuana long live JF
 
Ni watu wenye kujua mambo tofauti tofauti na waliotayari kuwajuza wengine......
 
Mie mzima wa afya pacha. Niambie baridi inasemaje au imepungua kidogo?
Pacha baridi la mwaka huu halieleweki, leo twaweza kuwa na afadhali kesho ukakutana na baridi la kufa mtu
 
Pacha baridi la mwaka huu halieleweki, leo twaweza kuwa na afadhali kesho ukakutana na baridi la kufa mtu
Poleni sana pacha. Sie tupo pacha tunalisukuma gurudumu la maendeleo.
 
Naipenda forum ya matajiri,
Kila mtu ni coordinator
Kila mtu ana gari
Kila mtu ana degree
Kila mtu ana nyumba
Kila mtu ana mshahara wa about 2m kwa mwezi
Kila mtu anajua kiingereza
Kila mtu amewahi/anaishi abroad.
Yaani haya mazingira yananifanya na mimi nijihisi nina status kama ya wanajf wengine.
 
Hahaaa. Ntakuja pacha usijali. Ila mwezi nitakaokuja jitahidi ulipie king'amuzi chako buana.
Hahahahaha jamani, basi nitalipia mamito,ahaa nitafunga Milano cable uje uangalie mpira unajua nilikuwa na mpango wa kukigawa kile king'amuzi ngoja nikiache sababu yako
 
Hahahahaha jamani, basi nitalipia mamito,ahaa nitafunga Milano cable uje uangalie mpira unajua nilikuwa na mpango wa kukigawa kile king'amuzi ngoja nikiache sababu yako
Umeonaeee. Kiache tu pacha.

Uwe na siku njema pacha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom