Swaaaafi kabisa mkuu na unaonaje maisha yako kwa sasa unaweza kutembea barabarani huku umekosea kufunga vifungo vya shati yako mkuu
Sawa.. hawawezi kuwa wote wana heshima... Ila kwa wingi heshima ipo.Malezi gani unayosemea ya mpaka mtu uoe, Wangapi wameoa na watoto zao tunawaona mtahani wakiwa na tabia mbovu kabisa,
Na watu wazima wangapi wameoa na tunawaona kabisa mtahani huku hawana heshima yeyote mkuu,
Swala la malezi na heshima halitegemei kuoa.
We kutokuoa Jamii inapata faida gani?..Halafu jamii ikijua unapata faida gani
Nimeoa mkuu... Kuwa makiniKwa hyo ww umeolewa?
Kama umeoa na ulikosea basi mfungwa ni wewe si ndoa. Kama hujaoa huku unashauri kitu ambacho hujui uchungu wala utamu wake basi una tatizo unaitaji msaada.Sana mkuu kuoa ni ufungwa
Kumkosea Mungu kwa dhambi ya uzinziKumpenda mtu pekee hakuwezi kuwa sababu ya wewe kuoa kwa sababu ata usipomuoa still upendo unabaki kama ulivyo,
__Penzi unaweza kupata popote na kwa wakati wowote,
__watoto unaweza kuzaa na yeyote na kwa idadi unayoitaka,
__Usaidizi house Made wapo wa kutosha tena ata wale wenye taaluma ya darasani,
__Kampani hiyo haina mashaka kabisa ukiwa single ndio unakuwa free na kampani yenye kukupa furaha siku zote,
Kipi kinakupa sababu ya kuoa?
Tatizo ni imani....End of the world ni pale wewe pumzi yako ya mwisho inapochukuliwa vinginevyo unaowaacha hai wataaendelea hivyo hivyo tu hakuna mwisho, tuko kwenye mzunguko we ukifa kuna mwingine anazaliwa
Naamini ndoa ni zaidi ya hayo uliyoongea.Kumpenda mtu pekee hakuwezi kuwa sababu ya wewe kuoa kwa sababu ata usipomuoa still upendo unabaki kama ulivyo,
__Penzi unaweza kupata popote na kwa wakati wowote,
__watoto unaweza kuzaa na yeyote na kwa idadi unayoitaka,
__Usaidizi house Made wapo wa kutosha tena ata wale wenye taaluma ya darasani,
__Kampani hiyo haina mashaka kabisa ukiwa single ndio unakuwa free na kampani yenye kukupa furaha siku zote,
Kipi kinakupa sababu ya kuoa?
Kumpenda mtu pekee hakuwezi kuwa sababu ya wewe kuoa kwa sababu ata usipomuoa still upendo unabaki kama ulivyo,
__Penzi unaweza kupata popote na kwa wakati wowote,
__watoto unaweza kuzaa na yeyote na kwa idadi unayoitaka,
__Usaidizi house Made wapo wa kutosha tena ata wale wenye taaluma ya darasani,
__Kampani hiyo haina mashaka kabisa ukiwa single ndio unakuwa free na kampani yenye kukupa furaha siku zote,
Kipi kinakupa sababu ya kuoa?
Nikipata huyo mlinzi namlipia mwezi mmoja basi!Ajiri ata mmasai anafaa kwa ulinzi mkuu
Huyo ndiye mlinzi nayemtaka, shida siku hizi hawaeleweki unaweza kutoka kazini ukakuta mlinzi wako kakuibia!Lakini atakuwa anakula kwako free na gharama nyinginezo mkuu
Endelea kubishana na Mimi nakuzoom tuuMuache kujitafakari nyie uanaume wenu umeenda wapi mnataka wanawake wajitafakari like serious!!!
kiukweli ni kwamba hakunamaana muhimu ya kuoa ila umekuwa ni utamaduni wa kibinadamu pamoja na psychology ya jamii zetu zimetujenga ili kuona kuoa ama kuolewa kitu fulani ambacho ni kama lazima au na kupitia hizo hisia zinaenda mbali na wakati mwingine inaonekana kupewa heshima sana sana kwa wanawake ila hii imebaki sana huku africa.Kwasababu ukiangalia sana siku hizi watu wanapendana wansex na wakati mwingine wanafikia hata kupata watoto na wanaishi pamoja na maisha ni mazuri kama vile yalivo kwa walioa ama olewa.Lkini kwa upande mwingine kwa wanawake kuolewa ni kitu fulani walichojengewa kichwani (illusion) kwamba mpaka mwanamke aonekane amekamilika ni lazima wakati mwingine aolewe ndio anaonekana mwanamke inafikia hata kipindi kuna wadada wanakimbilia ndoa na kuwaacha watu waliowapenda ila kisa tuu ni ndoa wanamsemo wao wanauita '' huna future na mimi''Pia psychology hiyo hiyo ipo kwa wazazi wa mtoto wa kike ikitokea imekuwa hivo basi mwanaume unaonekana umemkosea heshima mzee wa familia na kulazimishwa kulipa faini na kuleta kishika uchumba ... ala in all hakuna jibu sahihi lakueleweka utakalolipata ukimuuliza mtu kwanini ulioa au uliolewa wataishia kuseam familia, tamaduni , sitaki kuchezewa but katika uhalisia hakuna maana tunafuata taratibu za mawazo ya watuKumpenda mtu pekee hakuwezi kuwa sababu ya wewe kuoa kwa sababu ata usipomuoa still upendo unabaki kama ulivyo,