Kuzini kukoje na kuoa kukoje mkuu Tendo si lile lile tu mnavua nguo mnaunganisha vitendea kazi vyenu kazi inaanzaKiukweli kulea watoto kwa ukaribu zaid pamoja na aliyekuzalia kuna raha yake sio kwa ninyi wazazi tu hata kwa watoto wenu na pia wengine hawapendi kuzini na kuepuka kuzini lazima uoe
Mkuu mpaka hapa nlipo saiv nina Mke mzee babaWewe kipi kinakupa Sababu ya kuoa mkuu?
Sikutaka Kuchovya chovya nlitaka kumilikiKipi kilikupa sababu ya kuoa?
Kwani kuna shida gani ukioaKipi kilikupa sababu ya kuoa?
Ningemiliki kwa uoga nlitaka jamii yote ijue mimi Ndiyo mmiliki halaliKwani ata usingemuoa usingekimiliki