Kipi kimekufanya usioe hadi leo

kuoa bado utashindwa tu ikiwa hujaiset akil yako.maana hata hao unaowaona barabaran wamependeza high heels visut vyabkubana posta mpya.hio ni nje kaa nae ndio ujue kazi yake.sio kilanwakat utakua unajielewa elewa.oa uunge kizaz na mengine yatajiset tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NGOMA. ukioa utakuwa unapiga peku peku karibia miaka yote. Akichepuka ni kama tumechepuka wote.

Takwimu za mama wajawazito ambao wamepimwa wakakutwa nao ni hatari.
Na wengi wao ni wake za watu.
 
Back
Top Bottom