Kipi kimekufanya usioe hadi leo

Kipi kimekufanya usioe hadi leo

Ukiwa na ndoto ya kuoa acha urafiki na wasiozungumzia mipango ya kuoa, ogopa sana watu wasiozungumzia mipango ya kumpata mwanamke wa kuoa.
 
Yote sawa lakini
Rekebisha tuu hapo uliposema WANAUME
Sema WAVULANA

Hayo mengine ni mipango yako kama mvulana lakini sio kama mwanaume
 
Mkuu hao malaika wa kike Mbinguni kwenye maandiko matakatifu uliwasomea Wapi?

Malaika Gabriel ndo wakike au?

Kama Kuna malaika wa kike uliona katajwa kwenye maandiko naomba jina lake.
Hivi shetwani atakuwa jinsia gani yule kiumbe. Maana naye alikuwa mbinguni enzi zake
 
Kuoa ni usenge uliotukuka..... siwezi ishi na kiumbe asiyeeleweka tangu kuumbwa kwake na asiyeeleweka anataka nini
 
Back
Top Bottom