Hapa mwendo wakugegeda mpaka nifie kwa papuchi🤣🤣🤣🤣🤣[emoji16]. Ishi maisha yako
Hapa mwendo wakugegeda mpaka nifie kwa papuchi🤣🤣🤣🤣🤣[emoji16]. Ishi maisha yako
Ana mabawa [emoji16]
Mtihana sanaHehhe
Kuoa kazi sanaa.
Wanaume akipata mdada mzuri kichwani ni hakuna, akipataa alie vizuri sana sura haipo, akipata mwenye vyote tako hana , akipata mwenye tako hana vyote
Unafanya jambo la maana [emoji38]Hapa mwendo wakugegeda mpaka nifie kwa papuchi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi wakwetu nawe unawaamini??? Wengi hapo unakuta washaoa zao na wengine soon wataanza kutusumbua na michango, usiwaamini hata..!Embu oeni huko acheni visababu .
Daaa kwangu cjui ni mikosi au,mwanzo nilidate na watot wazir Sana warembo kwel ikafikia kuna wengne walitka kabsa niwaoe lkn wakati huo sikuwa na mpango wa kuoa,tatzo Sasa miaka umeenda na wazaz wananishikiza nioe na kila nkitafuta wa kumuoa cmuoni kabsa kila ninayemtokea anadai ako na mchumba ake wako in promise,najiuliza kwann siwaoni tena wale warembo walikuwa wanaikosha roho yangu tenaHabari za Mida hii Wakuu..
Mnatusqidiaje Sisi Wanaume Ambao Bado Hatuna Mpango Wowote Kuhusiana na Suala la Kuoa.
Hata kwa kuliwaza Tu Hatuna Mpango huo.
Huku Tukiangalia Vigezo vya.
Mali Sijapata Bado!
Bado sijajipanga!
Umri bado Hauruhusu kuoa.
Sijapata Aliye sahihi Hadi Sasa kuoa.
Ushauri unahitajika
Duh![emoji16][emoji16]kmmk
😂😂 Kwakweli wa kwetu.. wengine wapo kujifariji tu hapa.Hivi wakwetu nawe unawaamini??? Wengi hapo unakuta washaoa zao na wengine soon wataanza kutusumbua na michango, usiwaamini hata..!