mangosongoo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2016
- 256
- 464
ku date na mwafrica tena pooh!Habari.
Jambo gani hautakuja kuthubutu kufanya kwa upande wa mahusiano yako au katika ulimwengu wa kula kimasihara.
Kuzama chumvini na kula kwa mpalange sitaweza hadi nakufa.
Tuambie kipi hauwezi kwenye upande wa mapenzi.