Kipi hautaweza kufanya katika ulimwengu wa mapenzi?

Kipi hautaweza kufanya katika ulimwengu wa mapenzi?

* Siwezi kumpenda mwanamke yeyote zaidi ya kumuigizia tu...!

* Siwezi kumsaidia mwanamke yaani kumwezesha labda awe mke wangu wa ndoa.


* Nimeacha kujitoa au kusaidia sana ndugu na watu kwani malipo niliyolipwa ni lawama na nikabaki na shida zangu peke yangu.
 
Back
Top Bottom