Watamu hao......................Mnaendana hadi Joto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tunaodate agemate tujuane jamani[emoji119][emoji119]
3? Mbona chacheUtampata aliyewahi kutoa mimba 3. Hii dunia nyoko sana
Kwakweli labda bado nina safari ndefu 🤷♀️🤷♀️Hata mm niliapa hivi hivi kama ww ila mwisho wa siku nilikuja kujikuta nimo ndan ya penzi zito, we endelea kuishi bdo safari ni ndefu
Jamani😃😃😃😃3
3? Mbona chache
Kuna visu wew km yule mwanamke anayemdai dk mwaka talaka akiwa mke wa mtu akikutunuku utakataa
Ndo ivo na wanajisifu kabisaJamani😃😃😃😃
Ila kuna wadada hawana akili kabisa,, kuna mmoja namjua alikua anatoka mimba hadi sio poa enzi hizo yuko binti mbichimbichi asaiv kaolewa anavyohangaika kwa mwamposa kutafuta watoto🤣🤣🤣Ndo ivo na wanajisifu kabisa
🤣🤣🤣🤣 Ataishia kutombwer tu hukoIla kuna wadada hawana akili kabisa,, kuna mmoja namjua alikua anatoka mimba hadi sio poa enzi hizo yuko binti mbichimbichi asaiv kaolewa anavyohangaika kwa mwamposa kutafuta watoto🤣🤣🤣
Nakazia boss bora hata cake ila chupi tuachane tu akitaka 😀Kununulia demu chupi au Cake ya birthday
Hahaa utajutaa,ukimwaga majutoo yatakusonga mkuuHii kuzama chumvini niliapa kutoifanya na sijawahi kuifanya pamoja na kukutana na wanawake kibao wasafi,but kuna mwanamke nampenda sana siku akisema ndio raha yake nahisi nitakuwa sina nguvu ya kumkatalia.
Kuzaa na au kuoa mwanamke mwenye mtoto na amewahi kuwa ktk ndoa[emoji23]
Kudate na agemate hata iweje
Hata akiwa mke wako ndoa, bado unashauriwa ufanye kwa tahadhari. Mkisanuana hata kama ulimsomesha Harvard, ukamjengea ghorofa 10 na mmekaa miaka 20 still atakwambia alipoteza muda tu kwako lakini hakuna la maana ulilomfanyia.* Siwezi kumsaidia mwanamke yaani kumwezesha labda awe mke wangu wa ndoa.
Mwanamke ni wa kubembelezwa! Hiyo ni nature, sasa tusipingane na nature. Usipofanya hivyo kwa mkeo atabembelezwa na vijanaKubembeleza na kujielezaeleza kwa mwanamke
Bora anione muhuni tu
Life goes on,,tupo nje ya muda