Kipi hautaweza kufanya katika ulimwengu wa mapenzi?

2025DG

JF-Expert Member
Jan 30, 2023
508
1,426
Habari.

Jambo gani hautakuja kuthubutu kufanya kwa upande wa mahusiano yako au katika ulimwengu wa kula kimasihara.

Kuzama chumvini na kula kwa mpalange sitaweza hadi nakufa.

Tuambie kipi hauwezi kwenye upande wa mapenzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom