Kwa MD chuo chochote utakachosoma unapohitimu unakuwa na elimu sawa na MD yeyote duniani, hata yule wa UK, US n.k.
Kitakachowatofautisha ni jitihada ya kujua zaidi in terms of practice. So kwa upande wangu sioni haja ya kuangalia sana chuo bora ni kipi, hasa kwa MD.
Kuna watu tulikuwa nao intern kwenye mkoa fulani, wametoka kwenye hivyo vyuo mnavyosema ni bora but still walikuwa wanasuasua na wengine walikuwa hawana tofauti na mimi.