Kipi cha ajabu kwa mtoto wa Rais Samia kuwa na biashara binafsi?

Anna Nkya

Member
Oct 21, 2021
69
341
Baba yake Mbowe (Aikaeli Mbowe) ni mmoja wa waasisi wa CHADEMA. Fataher-in-law Mbowe (Edwin Mtei, Baba wa Lilian Mtei) ndiye kiongozi mkubwa wa kwanza ndani ya CHADEMA thats why wengine wanasema CHADEMA ni 'chama chake'.

Back in days hapa Moshi palikuwa na Mzee Philemon Ndesamburo, he was super rich (a.k.a NDESAPESA), alikuwa Mbunge wa Moshi Mjini na na a very powerful leader ndani ya CHADEMA. Yule Mzee watoto wake walipewa Ubunge wa Viti Maalum CHADEMA, ndo hao kina LUCY OWENYA na GRACE KIHWELU (hawatumii jina la Baba Yao).

Nimeandika hao kutake reference kuwa mtu kuwa mtoto wa kiongozi haikuzuii wewe kuwa kiongozi, zaidi sana haikuzuii wewe kuwa na biashara binafsi.

Tuje kwenye suala la ABDUL, mtoto wa Rais Samia Suluhu ambaye ametrend jana baada ya kupostiwa na Museveni.

Abdul ni mfanyabiashara, kampuni yake imejikita kwenye masuala ya Nishati. He went to Uganda as a private citizen. He went to Uganda kufanya kazi na Serikali YA UGANDA. Abdul amepata tenda kule kwa sheria za huko Uganda na kazi aliyopewa inahusu miradi ya Uganda. ULE SIO USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA UGANDA; ajabu nini hapo?

Wanasiasa wana tabia ya kulazimisha interpretation zao zikubalike na jamii bila kuangalia ukweli. Tweet ya Museveni hakuna mahali inaposema Abdul aliongoza ujumbe wa Tanzania, imesema tu kwamba Abdul kutoka Tanzania amekwenda na ujumbe wake.
Sasa Abdul kapataje tenda Uganda, ni swali wanalopaswa kuuliza Waganda. Labda Mama yake kamuomba Museveni ampe deal mtoto wake; sio ajabu, sio kinyume cha sheria.

So you guys tell us, ukiwa mtoto wa kiongozi unapaswa kurest at tome halafu parents wataprovide? Stop that nonsense.
 
wewe ni mpuuzi kama wapuuzi wenye hiyo kitu
 
tumia kichwa kufikiri na si hiyo naniiiii
 
Rubbish.
 
Umesahau kuandika namba yako ya simu.
 
Andiko la Museveni linasema mazungumzo yanahusu line ya Umeme toka Mtukula to Mwanza. Mtukula na Mwanza ziko Uganda?
 
Kwa nini anatrend baada ya mzazi wake kuchukua madaraka?Ni lini wakati wa Magufuli tulimuona anatembea na delegate from Tanzania.Ukiingiza familia yako kutumia mgongo wa Ikulu kufanikisha mambo yako lazima uharibikiwe.Lazima genge la mafisadi litamteka mmoja wa wanafamilia na kukuharibia uongozi. Mifano tunayo ya wanafamilia kuingilia maamuzi ya serikali kuanzia Mama siti,Ridhiwani na sasa Abdul
 
wivu tu na husda zinawasumbua. wanatafuta kila namna kutaka kumchonganisha rais wetu na wanacnhi, hao ni walioshindwa, watabwabwaja watabaki na umaskini wao. Hakuna mwenye roho mbaya akawa na mafanikio hata siku moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…