kIpI bOrA zAiDi??

kIpI bOrA zAiDi??

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,700
Reaction score
4,126
1. Kung'arisha viatu wakati
unaenda kupiga passport
size,
2. Kukaa kit cha mbele
karibu na dereva halafu
unamwambia konda
shusha,
3. Kumwamsha mgonjwa ili
umpe dawa ya usingizi,
4. Kupigiwa simu halafu
unaangalia balance yako,
5. Kutafuta remote ya TV
for ten minutes wakat TV
ipo karibu yako,
6. Kupunguza sauti ya radio
ili usome sms
 
hahaaa haaa daah unanifurahsha sana yani 100! hiyo ya 6 na 3 ntacheka mpaka kesho
 
Back
Top Bottom