Nakfa
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,971
- 14,388
Shalom,
Kati ya Truck Mechanics (ass job) na Electronics ipi bora kwa ngazi ya VETA?
Na ipi inaweza kuwa na muendelezo mzuri hadi kufikia levels za juu? (Specialisation sio lazima diploma ama degree)
Na inawezekana kuhama kutoka Chuo kimoja cha VETA kwenda kingine kwa kozi tofauti? Kwa kijana mwenye miaka 25
Karibu utoe maoni yako