Kipi Bora MBA in finance au CPA /ACCA

Kipi Bora MBA in finance au CPA /ACCA

Wapi naweza kusoma ACCA hapa nchini ..I mean tuition center na vituo vya mitihani

Ndio ACCA ni mitihani tu kama ilivyo CPA ama CSP

Covenant wanafundisha. Pia kuna tution centre nyingi tu za wahindi mjini zinafundisha tution za kujiandaa na mitihani ya ACCA
 
Piga CPA kama uko na nguvu.
Kama huna piga MBA
CPA hata akiisoma bila kui-practice kwny auditing firm hakuna kitu itamsaidia kwny shughuli zake,hio MBA za kibongo bongo atakutana na theories na story za biashara (inawafaa waaajirwa kwa ajili ya kuongeza CV zao na kuji-add value) lkn kwny biashara hakuna kitu ita-add.

Naongea hivi Kama mtu mwenye CPA (ACPA) NA MBA.
 
So kwako CPA inatumika tu kwenye Audit firm?
 
Ukifanya ACCA ukafaulu mitihani yake. CPA utaipata pia kwa urahisi sana. Maana mwenye ACCA huwa anafanya mitihani mitatu tu kisha anapewa CPA.

Ila ukiwa na CPA bado hupati favor yoyote kwenye ACCA.

Pia ACCA inaheshimika kuliko CPA na Masters

Fanya uchunguzi wako utaona wafanyakazi wa big 4 Auditing firms. Wanavyopiga shortcut kupata CPA. Kwa kutumia mbinu ya kufanya ACCA kwanza.
No man sio kwl..ukisoma cpa unapata privileges za exemption za ACCA as well...utajikuta unasoma masomo 4 tu ACCA. I suggest you make a follow up before making statements
 
Naomba kuuliza kama mtu umejiajiri na unatamani kujiendeleza kimasomo kwenye fani ya usimamizi wa fedha ...ni Bora kusoma kipi kati ya hizo program mbili na kati ya hizo ni ipi ambayo itakupa muda mzuri wa kufanya mambo yako mengine ..

NB : naomba pia ushauri wa chuo gan kinatoa evening classes Kwa Master degree
mm nina advance diploma ya ACCA nataka kujiunga na CPA ya bongo nafanyaje?
 
Back
Top Bottom