Kipi ambacho unajutia kwenye maisha yako yote katika swala la mapenzi.

Mzurulaji

JF-Expert Member
Sep 25, 2021
280
566
X Alikuwa Ni mwanamke niliompenda kwa dhati, niliachana naye kizembe sana na hakutaka kurudiana na mimi. Nakumbuka baada ya kuona simuelewi elewi, niliandaa mpango mzima wa kumtia wivu ili akumbuke wajibu wake ni nini.

Niliandaa mpango wa watu wake wa karibu wampe taarifa niko kwenye mahusiano mengine, kitu ambacho si cha kweli lengo ni kumtia wivu na arejee kwangu kwa Speed ya 4G. Lengo la mpango huu ndio ulienda kuharibu kila kitu, maana nilitahamaki baada ya kumuona akija maghetoni huku akiwa amefula sana. Hakutaka hata kukaa alizungumza huku akiwa amesimama.

"Kabla sijatoka na wewe niliwahi kuwa kwenye mahusiano pia, sikutaka kuingia kwenye mahusiano na wewe kwa miguu yote, sababu nilishaumizwa na sikutaka kuumia zaidi. Niseme tu ahsante kwa upendo wako ila sitoweza kushare na mtu yoyote"

Kisha akaondoka tangu siku hiyo namba yake kila muda alikuwa anatumika, njiani ananikwepa, nilimfukuzia sana arudi maishani mwangu na kuwasihi watu wake wa karibu wamwambie ukweli, ajabu wao wanadai hata jina langu hakutaka kulisikia. Mwisho wa siku familia yao nzima walihama mkoa jirani baada ya baba yake kuhamishwa kikazi maana alikuwa mwalimu mkuu katika shule X.

Shuka na wewe Juto gani? ambalo lilishakutokea na ukajutia katika maisha yako ya kimahusiano.......
 
Ulipeleka pigo za kishamba kwa mtoto wa mjini...😅
 
Hakukupenda huyooo bro.. yaani mtu kusikia maneno tu ya watu bila uthibitisho akwachee why na ndio maana alisema hakuingia miguu miwili kwako xo why wewe huumie
 
mdd jana tu nimetoka kulizagamua li mshangazi, nlipopiga bao mbili, nikakumbuka kuwa kuna kabinti miaka 19 kapo kwa ajir yangu kananisubilia,nikajiuliza why nakasalit,hapohapo ham ya kuzagamua ikaniisha,na nikajuta sana.mshangaz nikamuamuru aondoke mala moja na hakika nililia sana na najua kumsaliti mpnz wng.
 
Kushawishiwa kula tigo na mdada aliyekuwa mpenz wng wkt tupo chuo. Skuwahi kbs kuwaza ivo ajabu sku moja usku tumepga game tupo tunapgapga story nashangaa nabinuliwa tako na mi nikawa nafanya mzaha namwambia taingza akajbu ingza tuone aisee kweli nliweka naona kama inagoma ingia nikawa namwambia haingii mwenzangu anasema we sukuma itangia tu nkalazmisha wee kibish sn kikazama kchwa na nikakojoa hapohapo nikashuka mwenzangu akawa ananilaumu why nimefanya kdogo tu nikaacha wkt ye alikuwa anaskia utamu kweli skumjbu kilichofata nikaanza huo mchezo mpk akawa analalamika why napenda sn tigo, yan nlikuwa mpk namvzia amelala naingza akstuka tu anakutana nayo mpk ukawa unakuwa ugomvi daah najutia sn kwa kweli.
 
Duuh pole Man
 
Pole sana Man
 
Aiseee
 
Back
Top Bottom