Kipengele cha 'DINI' ktk vitambulisho vya taifa

Si busara kuwatukana watu ambao hukubaliani nao kimawazo hata kama mawazo yao yanaathiri maslahi yako binafsi.Mwanzisha mada ni vizuri akatumia busara katika ku'present mada yake.'Wajinga wachache' sio lugha nzuri.
 
Kwenye vitambulisho vya taifa hakuna cha Uamusho wa genge la Ponda wanavikataa. Kama mnajifanya mnasimamo gomeni na kupewa vitambusho vya Nida. Na wale wote Wazanzibar wanaotaka kupumua ni muda muafaka sasa wa kugomea vitambulisho vya Tanzania kama mnaubavu. Mkigoma zoezi la vitambulisho likiisha mjiandae kuchagua nchi ya kwenda, mtakuwa mmesharenounce uraia wa Jamhuri Tukufu ya Muungano wa Tanzania bara na Tanzania Visiwani, sh...#$&...t *10
 
Kuna watu hapa wamepafanya kama kijiweni kutwa kucha wanatukoroga tu! wenzetu wamisri na watunisia walitumia forum kama hizi kujikomboa lakini sisi kila siku kukorogana tu hakuna aidia mpya yani basi vurugu tu hapa!
 
Makafiri wataninifanya nipigwe ban humu jf hivi kukaa na kuzungumza yenu hamuwezi hadi mtaje waislam? nchi yenu kila kitu cha kwenu furahini basi maana wengine tupo ilimradi tupo, hatuna umuhimu wowote hapa nchini kwenu
 
Mjinga wewe na babako na mamako,mbwa koko wewe!
 
Kwa sababu wewe unakula nguruwe hutjali kama kuna waislaam wasio kula nguruwe. Sisi wengine ktk maandalizi ya chakula tunahesabu hata wale wasiokula nyama acha nguruwe na huwatayarishia mboga zao hatulazimishi mtu kula tunachokula..get the point!
 
...searching for logic..
...............
..............

0% results..

UNATUPOTEZEA MUDA.
 

Hata wakpata njia ya kujhesab wenyewe bado watatoa wrong statistics ili wathibitishe mafikirio yao
 

Fikra za udini ni mbaya kuliko kula nyama ya nguruwe!
 

hivi ni wepi wendawazimu wanaodai takwimu sahihi za wanadini kupitia sensa au wanaotoa takwimu za wanadini bila kuwa na takwimu?
 
Kuangalia zaidi hoja kwa ukiristo au uislamu kwa ushabiki wa "Simba na Yanga" haina faida wala tija kwa nchi

1) Baraza la Maaskofu kutangaza wakiristo ni wengi kwa mujibu wa takwimu zao na vigezo vyao sioni tatizo, kwani vigezo vya Survey havijawekwa wazi
2) TBC katika kutangaza hilo sioni kama walikuwa sahihi, ni chombo cha serikali na chenye kuaminiwa "no research no right to speak"
3) Body ya Utalii, inawakilisha Serikali, hawakutakiwa kutumia takwimu za vichochoroni katika jambo la kitaifa kama hilo. "Source ya information zao ni nini"

My take: No matter what .... hasara ya sensa isiyokamilika ni kubwa kuliko faida zake.
 
Huo wingi wenu wa kufikirika umewasaidia nn?
 
Kuondoa utata kwani kuna ushndani wa idadi ya watu kidini
 
Kuondoa utata kwani kuna ushndani wa idadi ya watu kidini?
 
 
Nguruwe na pombe zimewaharibu hawa jamaa! Wameoza meno mpaka akili!
 


basi weye ni mpumbavu

ponda, wewe, na wengine wote wenye akili za kipumbavu na ujinga woooote shenz type

ati unaleta ushabiki ili tu u-prov something

hhuhitaji sensa kujua una waumini wangapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…