Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 10,884
- 18,824
Eti wakuu kipaza sauti ni nini? Hivi vinaitwaje kwa kiswahili? Kipi ni kipaza sauti?
LalaEti wakuu kipaza sauti ni nini? Hivi vinaitwaje kwa kiswahili? kipi ni kipaza sauti?
View attachment 2639933
View attachment 2639934
kuna kipaza sauti (juu) na kinasasauti (chini)Eti wakuu kipaza sauti ni nini? Hivi vinaitwaje kwa kiswahili? Kipi ni kipaza sauti?
View attachment 2639933
View attachment 2639934
Barikiwa sanakuna kipaza sauti (juu) na kinasasauti (chini)