Kipare zaidi....!!

Hakika hasa zipikwe vizuri. Mtani hivi huwa yanakushibisha? [emoji85]

Mana mie nikila naonaga baada ya muda mfupi tumbo linakuwaga tupu. [emoji23]
Hayashibishi kabisa ,ila Sasa kuna ile kande ya mahindi mabichi na maharage mabichi,matamu ila mziki wake mabomu kama ya gongo la mboto
 
Nimekula sana hii kitu nikiwa mdogo,siku hizi sili kabisa nikila napata kiungulia kikali sana...
Duuh! Pole bro.

Au hayo unayokula wanakuwa wameeka viungo vingi labda nazi ambayo nasikia ikizidi inaletaga kiungulia eti.
 
Duuh! Pole bro.

Au hayo unayokula wanakuwa wameeka viungo vingi labda nazi ambayo nasikia ikizidi inaletaga kiungulia eti.
Inawezekana,ni issue ya nazi,ngoja nifuatilie ili ikiwezekana nianze kuyala tena...
 
Makande hayashibishi Ila ni moja ya vyakula viwili nisivyovipenda , makande na kisamvu
 
Hayashibishi kabisa ,ila Sasa kuna ile kande ya mahindi mabichi na maharage mabichi,matamu ila mziki wake mabomu kama ya gongo la mboto
Hahahahaaa. Duuh!!

Japo kiukweli ni msosi mtamu hasaa. Ila mi napendaga yenye sukari na chumvi kidogo japo kuna wengine wao wanapenda yenye chumvi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…