donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
- Thread starter
- #21
Sana, mi tatizo hua najamba sanaNi msosi mtamu japo mie nikiyala baada ya muda mchache tu huwa najihisi njaa.
Sana, mi tatizo hua najamba sanaNi msosi mtamu japo mie nikiyala baada ya muda mchache tu huwa najihisi njaa.
😅😅😅 hiyo haizuilikagi eti. 🏃♀️Sana, mi tatizo hua najamba sana
Haswa ziungwe na naziHata mi nayapenda ila si mpare ,kande zina utam wake
We hujala kisamvu weweMakande hayashibishi Ila ni moja ya vyakula viwili nisivyovipenda , makande na kisamvu
Mama yangu mdogo aliolewa upareni basi full kula pure na kishombe, mi nakula pure za sukari ila hiyo chakula inayoitwa kishombe sijawahi iona tena toka miaka ya 80Hahahahaaa. Duuh!!
Japo kiukweli ni msosi mtamu hasaa. Ila mi napendaga yenye sukari na chumvi kidogo japo kuna wengine wao wanapenda yenye chumvi tu.
Pure za sukari zina utamu wake bana. 😀Mama yangu mdogo aliolewa upareni basi full kula pure na kishombe, mi nakula pure za sukari ila hiyo chakula inayoitwa kishombe sijawahi iona tena toka miaka ya 80
Hata nakikumbuka basi, nilikula miaka ya 80 huko, nahisi ilikuwa miogo, maharage na mahindi halafu wanasonga kama ugaliPure za sukari zina utamu wake bana. 😀
Hicho kishombe ndo kitu gani Mkuu?