Kipara na mvi bora kipi?

Wakuu habarini za wakati huu.!
Napitia wakati mgumu kidogo kutokana na mwonekano wangu hasa wa nywele ambazo nyingi zimeanza kuwa nyeupe.
Umri wangu kwanza ndo nimegonga 29 miezi miwili nyuma ila kichwa tayari iko kama nimemwagiwa unga.
Salamu zimekuwa nyingi mpaka watu ambao naona kabisa wamenizidi umri hasa wadada na hili ndo linanipa kero kabisa ukizingatia tena bado sijashika pesa za kutosha naona nikifikisha 35 nitaitwa babu kabisa.
Ila kuna mshkaji wangu ana bonge la para linawaka kama glass na ni mkubwa kwangu ila ye wanamwona chalii anagonga mpaka fresh age..
Daah naombeni kama kuna dawa ya kuondoa jumla haya ma super black yanachosha kila siku kufua mashuka....

Head ni kipara.!
Piga para chap ukiwa na pesa weka super black
 
Wakaka wenye vipara Mungu azidi kuwaweka
 
Aisee bora mvi unaweza kupiga super black na wave fresh tu na kuchonga kama loon au diddy kwenye i need a girl.
 
Endelea kutumia magic kunyoa hata nywele za hukoo uvunguni nazo zitaota mvi
 
Wakuu habarini za wakati huu.!
Napitia wakati mgumu kidogo kutokana na mwonekano wangu hasa wa nywele ambazo nyingi zimeanza kuwa nyeupe.
Umri wangu kwanza ndo nimegonga 29 miezi miwili nyuma ila kichwa tayari iko kama nimemwagiwa unga.
Salamu zimekuwa nyingi mpaka watu ambao naona kabisa wamenizidi umri hasa wadada na hili ndo linanipa kero kabisa ukizingatia tena bado sijashika pesa za kutosha naona nikifikisha 35 nitaitwa babu kabisa.
Ila kuna mshkaji wangu ana bonge la para linawaka kama glass na ni mkubwa kwangu ila ye wanamwona chalii anagonga mpaka fresh age..
Daah naombeni kama kuna dawa ya kuondoa jumla haya ma super black yanachosha kila siku kufua mashuka....

Head ni kipara.!
Kapake breach nyeusi
 
Kitakuwa na sababu zaidi ya moja,mbona Mimi sijawahi tumia hiyo but nna mvi kidevuni,na Niko chini ya 40!!
Niliambiwa zamani nikawa mbishi kama shipa, nilipoanza kuona kidevu kinabadili rangi nikaachana nayo. Angalia watu wengi wana mvi za kidevuni wakiwa vijana kabisa. Kuendelea kutumia hiyo kitu lazima ukae🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom