Pole mkuu,naona haujajikubali. Jikubali tu mahangaiko ya kunyoanyoa kisa kuficha upara ya nini? Mimi ni zaidi ya miaka 20 Sasa upo tu. Ninapotaka naacha nywele Kisha baadaye nanyoa,watu wameshanizoea
Pole mkuu,naona haujajikubali. Jikubali tu mahangaiko ya kunyoanyoa kisa kuficha upara ya nini? Mimi ni zaidi ya miaka 20 Sasa upo tu. Ninapotaka naacha nywele Kisha baadaye nanyoa,watu wameshanizoea
Kiache kikue kizoeleke. Utakuwa huru sana. Umeshafikiri ni nani kwenye huu ulimwengu anakufanya usiwe huru na mwonekano wako? Nani? Kwann? Utapoteza lipi kwa huyo mtu au watu ukiwa na mwonekano halisi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.