Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,591
- 14,375
Mkuu hebu vuta pumzi ndeeefu, relax halafu fikiria tena ndipo utajua kuna mtu anamsaidia kukata japo hajionyeshi/haonekani moja kwa mojaLabda amejaribu upande mmoja, akaona ahamie upande wa pili.
Au mkataji wa upande wa pili kajiondokea zake.