Smart boy Shewedy
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 3,732
- 3,529
Kipanya
Huyo aliyeshika shoka ni Ndugai?
Labda amejaribu upande mmoja, akaona ahamie upande wa pili.huo upande wa pili ni nani anae kata??.
Anaoparate in darkness na ndio anamuendesha huyo mwenye mr kazi mwenye jishokaupande wa pili yupo anaekata ila haonekani
mkuu yawezekana kuna mtu anae kata upande wa pili ila hataki ajulikane kutegemeana na mazingira ya mti wenyewe.Labda amejaribu upande mmoja, akaona ahamie upande wa pili.
Au mkataji wa upande wa pili kajiondokea zake.
Ni Kweli mkuu, yote yanawezekana. Katuni zinakupa uwanja mpana wa kutafsiri unachokiona.mkuu yawezekana kuna mtu anae kata upande wa pili ila hataki ajulikane kutegemeana na mazingira ya mti wenyewe.
huo upande wa pili ni nani anae kata??.
Labda amejaribu upande mmoja, akaona ahamie upande wa pili.
Au mkataji wa upande wa pili kajiondokea zake.
Kipanya ni hatari