kipanya

kipanya

Kingdom_man

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2010
Posts
405
Reaction score
463
kipanya.jpg

Habari ndio hiyo!...........lol
 
Serikali imeanza kujenga miundombinu kwenda kwa Babu. Subiri Hotuba ya Ya mwezi ya Mkuu wa Kaya
 
ha ha ha ha ha ha ha ha big up masoud!! kwa hii nadhani watakutafuta kwani hawapendi kuambiwa ukweli
 
Hahahahahhahhhhhh!! Serikali hii imewachoka wananchi wake.. :ballchain:
 
Kama kuongoza ni rahisi hivyo hata mimi nawezaq kuwa Rais na miaka yangu hii hii niliyonayo.Wanaweza kusema hata wao ndio waliomuotesha Babu hiyo dawa......subirini muone
 
Kama kuongoza ni rahisi hivyo hata mimi nawezaq kuwa Rais na miaka yangu hii hii niliyonayo.Wanaweza kusema hata wao ndio waliomuotesha Babu hiyo dawa......subirini muone

...hapana ila watasema wameoteshwa ili chama chao kiwe chama cha milele madarakani.
 
Back
Top Bottom