Kipanya wewe korosho tena?

Kipanya wewe korosho tena?

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,521
Reaction score
96,267
Msanii wa katuni maarufu kama Kipanya amechora mchoro huu naomba tuujadili
FB_IMG_1550766064153.jpeg


In God we Trust
 

"Tutabangua hata kwa meno. Tutakula wenyewe" Watu mkashangilia, mkapiga yowe za shwangwe na kuandamana kupongeza. Kueni basi hizo korosha. Waleteni JKT wabangue hata kwa meno

Sasa ooh, wafanya biashara wanaruhusiwa kununua kiwango chochote. Mkiambiwa huyu mtu anakurupuka mnabisha - tuko kwenye right track.

Tatizo Watanzania tulishazoewa kuwa tunalishwa matango pori na kuyameza bila kufikiri

Wajinga ndio waliwao na mmeliwa!
 
Back
Top Bottom