Kipanya: Tukimuacha atatusumbua na tukimfukuza atatusumbua

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
1581613210782.png
 
Pendekezo la mwenyekiti ni kumfungia shughuli za kisiasa ndani ya chama kwa miezi 12 kuanzia sasa. Hii inamaana kifungo kikiisha na uchaguzi mkuu umeshapita.
 
Hakuna wa kuitikisa ccm kwa sasa,katika siasa ambazo ccm ilipata changamoto walau kidogo ni mwaka 2015 baada ya lowassa kutimkia upimzani,hawa wengine hawana jipya

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom