Kipanya tena jamani

Kipanya tena jamani

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,265
Reaction score
98,318
Msanii maarufu wa katuni bado ameendelea kutuletea mavitu ambayo tunashindwa kuyajua nini anamaanisha.
FB_IMG_1563550734355.jpeg
 
Naona kipanya anatafuta ubatizo wa moto
😂😂😂😂😂😂😂
 
Yaani hapo ni kwamba, gari la sisiem lipo juu kwa juu, yaani siku hizi halibebi wazee. Gari limekuwa la vijana peke yake. Si unawaona wazee wangu wanaangalia namna watakavyo kula matunda ya gari lao walio linunua muda mrefu, na wakaja kulitengeneza ktk awamu hii ya tano.
 
Modification ya hizo coil spring ni ya hatari sana,wakipita kwenye korongo tu tunawapoteza
 
Wazee hawawezi kupanda hapo..Gari sio kwa ajili yao tena
 
Back
Top Bottom