Duuu hat sjui kutafsr picha mjinga mie
Ana tandika Red carpet ya Uraisi ila njia imejaa vizuizi vingi ata pale alipo tandika kuna wanao haribu mpaka awake mawe kushikilia.
Njia imejaa misumari na vigingi
chama kimejaa Manafiki wasaliti wengi na upinzani umechangamka Mbowe mzee wa maridiano haupo tena akichezea kdgo hiyo presidential carpet inaenda na upepo, ni kua makini zaidi.Meaning amekosa wa kumsaidia
bado sana yanakuja Mengi zaidiYESU rudi kama ulivyoahidi, wanao tumeona mengi yatosha.
Mkuu ulishawahi kuona wapi grave stones yenye ncha? Hapo sio kabisa.Hizo ni gravestones (makaburi) akimaanisha anaelekea ikulu kwa kumwaga damu ya watu...au tafsiri nyingine ataingia ikulu..lkn damu itamwagika....ngoja tuone