Kipanya; pamoja na kuwaita wafanya biashara, ukweli ni huu

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,274
1122492
 
Ogopa sana kauli kama hii kwa mtu yeyote nae kataa jambo harafu anasisitizia mwishoni
 
Tatizo ni "kiburi,ujuaji na ushamba"wa uchumi ndo unasumbua. Uchaguzi huu hapa na hakuna jipya la kudanganyia. Kilichobaki ni SANAA ndani ya jumba la usanii. Makinikia yalibuma,labda kiki hii itanusuru wahanga!
Bado hela ya Bashite kuishi kwa raha kuliko watu wote duniani haijapatikana.
 
Nyoka Wa Ndumilakuwili Huuma Akivuvia.
😁😀😂😃😄😅😆😉
 
Bado hela ya Bashite kuishi kwa raha kuliko watu wote duniani haijapatikana.

Inabidi Rais Magufuli akubali ameshapotea njia kwa swala la uchumi wa Tanzania.....ila ana nafasi"golden chance"moja tu...atafakari kwa kina yoooote walioongea Dk. Phillip Mpango Waziri wa Fedha na Makamu wa Rais Mama Samia. kwenye kikao alichokiitisha Rais Magufuli na Wafanyabiashara.
 
Back
Top Bottom