Kipanya na wana Twitter

Kipanya na wana Twitter

Serikali gani haina hata uwezo wa kudakua twiter yaani kigogo kawashinda?

Kama jambo dogo kama ili linawashinda je mtaweza kweli kufanya jambo gani?
Twitter si mchezo ! unaweza kuwa unatukanwa na mlinzi wako na usijue , unaweza kuta huyu Kigogo ni mlinzi wa jiwe lakini yeye anahangaika kutafuta kwingine !
 
Back
Top Bottom