Kipanya na wana Twitter

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Leo hii kawashukia wale watumiaji wa Tweeter kwa ushauri au tahadhali hivyo nivema mkachagua njia sahihi.
IMG_20200102_121848.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali gani haina hata uwezo wa kudakua twiter yaani kigogo kawashinda?

Kama jambo dogo kama ili linawashinda je mtaweza kweli kufanya jambo gani?
 
Kazi kweli kweli, huu ni zaidi ya ushamba.
Kukiri makosa au mapungufu co ujinga bali ni namna ama njia ya kujiimarisha.
Iweje sasa kuwanyamazisha wakosoaji?
 
Japo umeongelea kada mbili tofauti. Ujue kuwa twitter si mtandao wa tanzania. Mtandao huu uko nje na na umetengenezewa mfumo wa ulinzi usio yumba. Kibongo nongo si kazi rahis kuingilia mtandao kama huo.
Serikali gani haina hata uwezo wa kudakua twiter yaani kigogo kawashinda?

Kama jambo dogo kama ili linawashinda je mtaweza kweli kusimamia ACTL ijiendeshe kwa faida?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom