Kipanya na hatima ya Wanahabari

Kipanya na hatima ya Wanahabari

Joka kuu ni mamlaka zinazoiba wanahabari kwa kuwapa vyeo. Na katika hili kipanya anaonyesha ni kwa jinsi gani vyeo vinapoteza ujasir wa wanahabari kufanya kazi zao..kwa ufupi wanahabari wtafanya kazi kwa madhumuni ya kupata vyeo .na si kuwapa Habari wananchi Na wanahabari watasifu mamlaka tu ili vyeo wapate..
Dunia hadaa ulimwengu shujaa
 
Hongera sana mkuu

Njaa zao tu pumbavu. Wao ndio wanaonyesha elements za kutaka kuingia huko. Na si kwamba serikali inawawekea mtutu kichwani
 
Kama sasa hivi watu wa mawingu FM&Tv ndiyo wamezidi kujikomba na kujitoa akili
 
Media imeharibika mno kwa sasa magazeti kwishney imebaki tvs
Siku hizi hata taarifa ya habari mara nyingi zinanipita si kama zamani
Vyombo vinakosa mvuto kwakweli
 
Huyo Dunya hapo naye hakimbii anasubiri zamu yake amezwe.
 
Back
Top Bottom