Kipanya na hatima ya Wanahabari

Hilo ni dongo kwa wanahabari. Huyo zwazwa aliyesimama hapo alipaswa either akimbie kujiokoa au ajaribu kumvuta (kumsemea) mwenzake anayemezwa. Sasa lipo tuu linasubiri na lenyewe kumezwa huku kalamu ipo sikioni
 
Au ni kati ya wale wa kina Musiba
Hilo ni dongo kwa wanahabari. Huyo zwazwa aliyesimama hapo alipaswa either akimbie kujiokoa au ajaribu kumvuta (kumsemea) mwenzake anayemezwa. Sasa lipo tuu linasubiri na lenyewe kumezwa huku kalamu ipo sikioni
 
1594108737413.png
 
Masood siku akipewa ukuu wa wilaya atatulia na mtaumbuka kwa mnavyomshabikia.
hawezi kataa.watanzania ni walewale na tabia ni zilezile.Polepole na wengineo si hao wametulia.
 
Back
Top Bottom