Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,620
- 21,161
Huyu ni popomaTatizo lako hutaki kuisumbua akili zako kabla ya kuandika kitu hapa jukwaani
Hilo ni dongo kwa wanahabari. Huyo zwazwa aliyesimama hapo alipaswa either akimbie kujiokoa au ajaribu kumvuta (kumsemea) mwenzake anayemezwa. Sasa lipo tuu linasubiri na lenyewe kumezwa huku kalamu ipo sikioni
Mkuu..Achana na hili zezeta la Lumumba.Tatizo lako hutaki kuisumbua akili zako kabla ya kuandika kitu hapa jukwaani
Shavu baada ya kujidhalilisha?
He is very genius i real appreciate himMsanii maarufu wa katuni ajulikanaye kama Kipanya leo hii ametuletea kisa cha hatima ya wana habari na vyombo vyake.
Je, huyo nyoka anawakilisha nini au ni nani?
View attachment 1499717
ChatoHilo joka ni lipi na kutoka wapi? [emoji23][emoji23]
Sijui kama wamekuelewa.Masood siku akipewa ukuu wa wilaya atatulia na mtaumbuka kwa mnavyomshabikia.
hawezi kataa.watanzania ni walewale na tabia ni zilezile.Polepole na wengineo si hao wametulia.
Nyumbu hawaelewagi.mpaka siku Simba akishang'ata shingo anataka kumla ndo anaanza kuelewa.Sijui kama wamekuelewa.