Huyo mwenye dume la " kopa" sijui atakuwa nani?Wajameni wenye macho na watazame na wale wakali wa ujuzi wa kusoma habari picha basi mtufungue macho hapo chini. View attachment 1350558
Sent using Jamii Forums mobile app
ni Bashiru huyo si unaona anavyotetemeka mikonoHuyo mwenye dume la " kopa" sijui atakuwa nani?
alafu maji yanazidi kuvurugika hapo ofisini yameshafika size ya kufunika meza.Kamati iliyomuita membe ilishindwa kumhoji bali walikuwa wakicheza karata na yeye alikuwa mbele yao
Hujamuona Mwenye Dume La Mavi Ya Mbuzi ππ πHuyo mwenye dume la " kopa" sijui atakuwa nani?
ni mangula ndiyo amelamba dume la mavi π€£ π€£ π€£Hujamuona Mwenye Dume La Mavi Ya Mbuzi ππ π
Hahahaaaa........ Yule ni mzee Mgaya bwashee!Hujamuona Mwenye Dume La Mavi Ya Mbuzi ππ π
kwani huyo babu yako yupo kwenye hiyo kamati?Hahahaaaa........ Yule ni mzee Mgaya bwashee!
Hahahaaaa........ kwani wewe unamchukulia poa?!kwani huyo babu yako yupo kwenye hiyo kamati?
Hawajui kua bwana mkubwa alificha J, Joker pamoja na karata ya ushindi.
#Bagwell
Huyo mwenye dume la " kopa" sijui atakuwa nani?
Kamati iliyomuita membe ilishindwa kumhoji bali walikuwa wakicheza karata na yeye alikuwa mbele yao
nimegundua unampenda sana huyo mzee mgaya,Hahahaaaa........ kwani wewe unamchukulia poa?!
ni Bashiru huyo si unaona anavyotetemeka mikono
ππππππni Bashiru huyo si unaona anavyotetemeka mikono
alafu maji yanazidi kuvurugika hapo ofisini yameshafika size ya kufunika meza.
Bashiru anamuogopa sana Membe kila akisikia jina la Membe anatetemeka miguu na mikono kwa khofu.